Ezekiel 35:2-3

2 a“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya mlima Seiri, utabiri dhidi yake 3 bna useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume nawe, ee mlima Seiri, nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa na usiyekaliwa na watu wala kulimika.
Copyright information for SwhKC